The House of Favourite Newspapers

Haji Manara Ajiachia Kiwanja na Wake Zake Wawili Awapa Pongezi

0

Haji Manara ameshea picha akiwa na wake zake wawili hotelini na kusema kuwa ni siku kubwa sana kula chakula na wake zake wawili kwa upendo na furaha.

Hatua hii imekuja ikiwa ni siku chake tangu amefunga ndoa na aliyemtambulisha kuwa ni msaidizi wake Bungeni jijini Dodoma.

Aidha ameahidi video nyingi kuziachia katika mitandao ya kijamii kwani ndio kwanza wameanza.

 

Leave A Reply