The House of Favourite Newspapers

Haji Manara wa Simba atembelea Global Publishers

0

IMG_4462

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akiongea jambo na Msemaji Mkuu wa Simba,  Haji Manara alipotembelea Ofisi za Global, Bamaga -Mwenge jijini Dar.

HAJI MANARA GPL (24)

Meneja Mkuu wa Global Publishers, Abdallah Mrisho (kulia) akiongea jambo na Haji Manara.

IMG_4439

Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally (wa pili kutoka kulia) akiwatambulisha wahariri wa Magazeti ya Championi, Philip Nkini (wa kwanza kushoto) na Ezekiel Kitula (wa kwanza kulia).

HAJI MANARA GPL (4)

Haji Manara akifuatilia kwa makini namna ya uandaaji wa magazeti.

HAJI MANARA GPL (9)

Manara akionyeshwa Gazeti la Championi linavyotayarishwa na msanifu kurasa wa Global, Asteria Kitula.

HAJI MANARA GPL (21)

Mhariri Kiongozi wa Magazeti Pendwa ya Global, Oscar Ndauka (kushoto) akisalimiana na Manara.

HAJI MANARA GPL (22)

Mhariri wa Ijumaa Wikienda, Sifael Paul (kushoto) akiongea jambo na Manara.

HAJI MANARA GPL (11)

Mhariri Mwandamizi wa Gazeti la Uwazi, Elvan Stambuli, (kulia) akisalimiana na Manara.

HAJI MANARA GPL (16)

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist (wa kwanza kushoto) na Mhariri Kiongozi wa Championi (kulia) wakiongea na Manara (katikati).

HAJI MANARA GPL (18)

Mhariri Kiongozi wa Magazeti ya Championi, Saleh Ally akimtambulisha Manara (katikati) kwa Mhariri wa Gazeti la Risasi Mchanganyiko, Ojuku Abraham (kulia).

HAJI MANARA GPL (10)

Manara akisalimiana na Edwin Lindege (kushoto).

HAJI MANARA GPL (19)

 Saleh Ally (kulia) akiongea jambo na Manara kuhusu kitengo cha Global TV Online.

IMG_4514

Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amrani Kaima akimuangalia Manara anavyovaa kofia ya Gazeti la Ijumaa lenye sura mpya.

(PICHA; MUSA MATEJA/GPL)

Leave A Reply