The House of Favourite Newspapers

Halima Mdee na wenzake wameachiwa kwa dhamana leo

1

HALIMA3

Mbunge wa Kawe Halima Mdee.

Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wa 4 wamefikishwa mahakama hakimu mkazi kisutu wasomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa,wamekana mashitaka wamejidhamini wenyewe kwa milioni mbili kila mmoja.

Wameachiwa kwa dhamana na kesi imeahirishwa mpaka March 16 Mwaka huu.

1 Comment
  1. Herment A. Mrema says

    Kama kutawala ni kutamu basi huo ndio utamu wenyewe. Hivi tunafikiri tutaishi milele? Iko wapi haki na tangu lini penye dhuluma kukawa na maendeleo? Kama Taifa tutafakari jamani hii nchi ya Tanzania ni yetu sisi wote na tuheshimiane, tupendane na tujenge Tanzania kwa Watanzania wote. Ninafikiri kama kweli Rais Magufuli ana nia njema ya kutuletea mabadiliko ya kweli ambayo ni maendeleo na amani asifumbie macho hili la meya na zanzibar kwani juhudi zake zote zitakuwa hazina faida kama haya mambo mawili pamoja na la katiba ya Warioba hayatafutiwa suluhu ya haki, usawa na haki. Tukubali kuwa Tanzania bila CCM inawezekana na Tanzania bila Ukawa inawezekana ali mradi kuna demokrasia ya kweli. Mungu Ibariki Tanzania na watu wake.

Leave A Reply