The House of Favourite Newspapers

Hamza: Kufa kwa Mzee Majuto Isiwe Faida kwa Wengine – Video

Kufuatia uzushi unaozagaa mitandaoni mara kwa mara kwamba kwamba mzee Majuto amefariki dunia, msemaji wa familia hiyo, Hamza Majuto amefunguka kwamba taarifa za uzushi huo zisiwe faida kwa wengine.

 

Akipiga stori na Global TV, Hamza ambaye ni mtoto wa Mzee Majuto amefunguka mengi na kuwataka wanaofanya hivyo waache mara moja kwani ni kama kumchulia kifo Mzee wao.

MSIKIE HAMZA AKIFUNGUKA HAPA

Comments are closed.