The House of Favourite Newspapers

Hans Pope Kuagwa Leo Karimjee

0

Mwili wa Marehemu Zakaria Hans Poppe utaagwa leo Septemba 13, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam ambapo Wanasimba na wapenda soka na Watanzania kwa ujumla watapata fursa ya kutoa heshima zao za  mwisho.

 

Leave A Reply