The House of Favourite Newspapers

Happy Birthday Kajala Masanja

0

Kajala-Masanja-5331
LEO ni siku muhimu sana kwa Staa wa Bongo Muvi, Kajala  Masanja ambapo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Kitengo cha Global Digtal tunakutakia heri ya kuzaliwa.
Tunakuombea miaka mingi zaidi, Mwenyezi Mungu akulinde, kukuongoza na kukupa nguvu zaidi ya kulifikisha taifa hili mbali.
Happy Birthday Kajala Masanja!

Leave A Reply