The House of Favourite Newspapers

Harmonize Aibuka na Feza Kessy, Aibua Maswali Mazito Kwa Mashabiki Wake

0

 

Msanii Rajabu Kahala ‘Harmonize au Harmo’ akiwa na Feza Kessy.

MSANII Rajabu Kahala ‘Harmonize au Harmo’ leo Desemba ameibua maswali mazito kwa mashabiki zake baada ya kuachia  picha tata kupitia insta story yake akiwa na msanii wa Bongo Fleva na mtangazaji, Feza Kessy akiambatanisha na caption ya ‘No mara waaaaaa’

Jambo ambalo limewapeleka watu wengi kwenye mawazo ya couple kutokana na status ya mahusiano ambayo yuko nayo Harmonize kwa sasa baada ya kutangaza rasmi wiki chache zilizopita kwamba hayuko penzini.

Ukiachana na urembo wa Feza Kessy ambao unaweza kumsogeza Harmonize karibu yake, pia ni Msanii, kitu ambacho kinaweza kuwakutanisha wawili hawa kwenye kazi, ukizingatia jana Harmonize alitangaza leo ujio wa video mbili leo.

EXCLUSIVE: SOPHIA AMELOWA AMUOMBA MSAMAHA HARMONIZE | HOTPOT

Leave A Reply