The House of Favourite Newspapers

Harmonize Alipuka! 2022 Sioni Msanii Ananunua Views – Video

0


Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ameeleza kuhusu baadhi ya wasanii wenye tabia ya kununua views, Youtube na kuaminisha watazamaji muziki wao unafanya vizuri wakati wanawadanganya na kubainisha kwamba mwaka huu haoni msanii atakayefanya hivo na kusisitiza kufanya kazi kwa bidii.

 

⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Leave A Reply