The House of Favourite Newspapers

HARMONIZE Alivyomwaga ‘MACHOZI’ kwa Mama Yake – Video

Usiku wa Wasafi Festival 2018 mkoani Mtwara, umekuwa ni wa kipekee huku burudani ikiwa si ya kubabaisha ambapo wasanii kutoka WCB na wengine wengi wameangusha bonge moja la burudani.

 

Kwa sababu tamasha hilo limeanzia Mtwara ambapo ndipo nyumbani kwa kina Harmonize, lilihudhuriwa pia na Mama yake mzazi ambaye alimpandisha stejini na kujikuta akimwaga machozi kwa uchungu.

VIDEO: TAZAMA TUKIO ZIMA HAPA

Comments are closed.