The House of Favourite Newspapers

Harmonize Amfanyia Sapraizi Mpenziwe Sarah

Msanii wa Bongo Fleva, Harmonize akifanya yake na mpenzi wake, Sarah, usiku wa kuamkia leo Dar Live.
Harmonize akicheza na Sarah mbele ya mashabiki.
…Akimwita Sarah ili amtambulishe kwa wakazi wa Mbagala.
Sarah akiwa stejini .

MWANAMUZIKI Harmonize amemfanyia saparaizi ya pekee mpenzi wake aitwaye Sarah, raia wa Italia, baada ya kumuita stejini na kumweleza anavyompenda mbele ya mashabiki, akimpa ushauri wa kuacha kufuatia stori za mitandao ambazo zinasababisha migogoro isiyo na maana kwa wapendanao.

Alimalizia kwa kucheza naye stejini huku mashabiki wakimshangilia kwa kumpata “Mtasha” huyo.

NA RICHARD BUKOS/MUSA MATEJA

Comments are closed.