The House of Favourite Newspapers

Sapraizi Aliyoifanya Ben Pol ‘Usiku wa Kusi’ ni Noma

 

Mwanamuziki Bernard Paul ‘Ben Pol’ akiongea na mashabiki wake.

MKALI wa Muziki wa RNB Bongo, Ben Pol, amewapagawisha mashabiki wengi waliofurika katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala Zakheem jijini Dar.

 

Katika shoo hiyo iliyoandaliwa na Global Publishers kwa kushirikiana na Wasafi Classic Baby (WCB), palishuhudiwa mastaa hao wa Hip Hop Bongo wakitumia muda mwingi kuchana na mashabiki mstari kwa mstari huku baadhi yao wakijirusha kucheza na mashabiki.

…Akiimba kwa hisia kali.
…Akicheza na mrembo mmoja kati ya waliohudhuria shoo hiyo.

 

 

…Akiwaaga mashabiki wake baada ya kumalizika kwa shoo.

PICHA NA RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA

Comments are closed.