The House of Favourite Newspapers

Harusi ya Meneja wa Global Publishers, Mlimani City

0
Maharusi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Global Publishers
Wafanyakazi wa Global Publishers wakicheza muziki kwa furaha.
Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (kulia) akiwa na Mheshimiwa Nape Nnauye.
Maharusi wakiwa na mwigizaji Jacqueline Wolper
Brighton Masalu (wa pili kushoto) akizungumza kwa niaba ya waandishi wa Global Publishers.
Wafanyakazi wa Global Publishers wakifurahia jambo.
Mratibu wa Soka Bet, Franco Ruhinda akiwapungia mikono wageni wakati akitambulishwa.
Shigongo (kulia) akigongesheana ‘cheers’ na maharusi pamoja na wapambe wao.
Wapambe wa bi. harusi, Women With Vision (WWV), wakiwa katika picha ya pamoja na bi harusi, Catherine Mdami.
Mzee Elvan Stambuli (kulia) akiwa na Ayoub Dotto sambamba na wafanayakazi wengine, wakipeleka zawadi kwa bibi harusi.
Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally akigongesha ‘cheers’ na bwana harusi. Nyuma yake ni Ezekiel Kitula, Mhariri wa Championi Jumatatu.

Leave A Reply