The House of Favourite Newspapers

Vilio, Simanzi Vyatawala Kuagwa Mwili wa Mtangazaji Chogo wa EFM

0

Mtangazaji na mchekeshaji wa kituo cha redio EFM, Dennis David Rupia ‘Chogo’, ameagwa leo katika kanisa la Mtakatifu Maxmilian Kolbe lililopo Mwenge Jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yanatarajia kufanyika kesho Ifakara mkoani Morogoro. Marehemu Chogo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa Homa ya Ini, na alianza kuugua tangu Juni, ilipofika Septemba 29, 2017 akafariki dunia.

Leave A Reply