The House of Favourite Newspapers

HATIMAYE MUSWADA WA VYAMA VYA SIASA WATUA BUNGENI – VIDEO

Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya vyama vya Siasa wa mwaka 2018 umewaasilishwa bungeni leo Jumanne Januari 29, 2019 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama.

 

Mhagama amesema pamoja na mambo mengine muswada huo unalenga kumpa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhakiki chama cha siasa wakati wowote.

Msikilize Hapo chini

Comments are closed.