The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Wafugaji Waliodaiwa Kuuawa na Polisi Wazikwa

Mwili ukiwasili kwenye makazi ya marehemu.

Vijana wawili wa familia moja ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai ‘Wabarbaig’, Sainga Kambererega (25) na Rumai Kambererega (22) waliodaiwa kuuawa na polisi waliokuwa kwenye zoezi la kuwaondoa wafugaji katika Kijiji cha Kidomole wilayani Bagamoyo mkoani hapa Machi 6 mwaka huu jana jioni ndio miili yao ilizikwa.

Waombolezaji wakitulizana.

Wafugaji hao walikubali kuizika miili hiyo baada ya kufikia muafaka wa amani kwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Mchemba baada ya kuwasilikiza kilio chao na kuwaahidi kuwachukulia hatua kali polisi wanaodaiwa kuwaua ndugu hao.

Waombolezaji wakilia kwa uchungu.

Baba wa Marehemu Kambarerega Kisamoda (katikati) akifarijiwa na waombolezaji.

Baadhi yao waliishiwa nguvu na kuzimia.

Waombolezaji wakimtuliza ndugu huyu.

PICHA : RICHARD BUKOS / GPL

Comments are closed.