The House of Favourite Newspapers

SportHouse: Mjadala Mubashara Kuhusu Mechi ya Yanga Vs Zanaco

Ni leo Alhamisi, Machi 9, saa 10:00 jioni.

-Wachambuzi mahiri wa mchezo wa soka wakiongozwa na Mhariri wa Gazeti la Championi, Saleh Ally watakuwa wakizichambua timu bora kwa sasa hapa Tanzania yaani Yanga na Azam FC kuelekea mechi yao ya Mzunguko wa Pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara, mchezo utakaopigwa Jumamosi, Aprili 01, 2017.

-Mengine yatakayojadiliwa ni pamoja na uwakilishi wa timu hizi mbili kwenye michuano Kimataifa ambapo Yanga wanatarajiwa kukipiga na Zanaco, Jumamosi hii machi 11, 2017 (mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika) huku Azama akikipiga na Mbabane (Kombe la Shirikisho) mnamo Jumapili, Machi 12, 2017.

Usipitwe na Mjadala huo MUBASHARA saa 10:00 leo Jioni kupitia YouTube Channel ya Global TV Online pekee.

Ili kutazama mjadala huo LIVE, Subscribe YouTube ya Global TV Online

SpotiHausi: Hapa Ndipo Soka Linapochambuliwa Mubashara

Comments are closed.