The House of Favourite Newspapers

TRAVIS SCOTT AFICHUA SIRI NA MZAZI MWENZAKE MBELE YA MASHABIKI (VIDEO)

Rapa maarufu, Travis Scott ametoa kauli iliyowashangaza wengi kuhusiana na mama mtoto wake ‘Kylie Jenner’  huko Huston, juzi Novemba 17, 2018 wakati wa Tamasha la Astroworld.

 

Travis alifunguka jukwaani mbele za mashabiki na kusema, “Mke wangu mpendwa amekuja na mtoto wangu mpendwa amekuja pia”.

Kauli hiyo iliwashangaza mashabiki na baadhi ya watu kwamba wawili hao kuna uwezekano wapenzi hao wamefunga ndoa ya siri na hakuna yeyote aliyejua hilo.

 

Kilichoendelea kuwachanganya mashabiki zaidi ni Travis alivyocomment kwenye post ya Kylie Jenner iliyokuwa inasomeka;

Watu waliokuzunguka tu ndiyo wanaoelewa ni kiasi gani unafanya kazi kwa bidii. Nitapenda kukuona unatimiza ndoto zako zinakuwa kweli, tamasha lako la kwanza, tunajivunia uwepo wako, tunakupenda” kwa kuandika I love u wifey.”

 

LIVE: DKT. KALEMANI Akihamasisha Umeme wa Maporomoko Mto Rufiji

Comments are closed.