VIDEO | Mafikizolo ft. Kly, Gemini Major – Best Thing (Official Video)
Mafikizio Toka South Africa wameileta video ya wimbo wao wa ‘Best Thing’ wakiwa wameshirikiana na Kly pamoja na Gemini Major.
Wimbo ya Best Thing ni ya 3 katika Album yao inayojulikana kwa jina la ’20’ ambayo iliingia sokoni 2017.
Video imeongozwa na Morale Pablo Phala.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.