The House of Favourite Newspapers

JOHN HECHE: Waliniambia Watanipoteza – VIDEO

MBUNGE wa Tarime Vijijini, John Heche, anadai kutishiwa maisha na mwandishi wa habari ambaye anajitangaza kuwa ni mtu wa usalama wa taifa.

 

Heche ameongeza kuwa alipokuwa katika kampeni ya Uchaguzi Kinondoni, yeye pamoja na Mbunge Msigwa na Silinde, walikutana na mwandishi huyo ambaye alimtamkia wazi kuwa atampoteza mbele ya wabunge hao.

 

Mbunge Heche anadai ameandikwa kwenye magazeti mawili tofauti kuwa alihongwa Milioni 100 na makampuni mbalimbali ili aiibue hoja ya E-Passport, bungeni, ambapo alitaka kuwashtaki lakini baadae akaghairi.

 

VIDEO: MSIKIE HECHE AKIFUNGUKA

Comments are closed.