The House of Favourite Newspapers

Helkopta Ya Polisi Ilivyofanya Doria Dsm Leo, Kamanda Murilo Azungumza-Video

0

KUELEKEA maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru yanayotarajiwa kufanyika kesho Desemba 09, jeshi la polisi kanda maalum ya Dar likiongozwa na kamanda wa kanda maalum, Jumanne Murilo, wamefanya doria kwa helkopta katika maeneo yote ya jiji ili kuhakikisha hali ya ulinzi na usalama inakuwa shwari.

Leave A Reply