The House of Favourite Newspapers

Heri ya kuzaliwa Dkt. John Pombe Magufuli

0

12196141_1352402261440855_4065294366996546731_nMgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli.

LEO  ni siku ya kuzaliwa ya mgombea wa urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote.

Dkt John Pombe Joseph Magufuli alizaliwa siku ya Alhamis, Oktoba 29, 1959. Tunakutakia maisha marefu na yenye mafanikio kwa Watanzania wote.

 

Leave A Reply