The House of Favourite Newspapers

HII KALI! Aliyefukuzwa Shule Kisa MR BLUE Amlilia ZITTO Kabwe – Video

Kila nyuma ya historia ya mtu maarufu au mashuhuri kuna stori kitu ambacho amekipitia, kwa upande wa Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Uncle B, yeye aliwahi kufukuzwa shule kwa sababu ya kuchora jina la Mr Blue kwenye ukuta wa shule.

 

Uncle B, alikuwa akichora jina la Mr Blue hadi kwenye madaftari na ilitokana na upendo wake na ushabiki mkubwa aliokuwa nao juu yake.

SIMULIZI YA KISA HICHO UTASHANGAA

Comments are closed.