The House of Favourite Newspapers

Hii Ndo Miradi Anayoendelea Kufanya Rais Samia Mkoni Manyara

0

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Sendiga ameeleza kuwa kwa kupindi kifupi cha uongozi wa Rais Samia Mkoa wa Manyara peke yake umepokea bilioni 535 za miradi mbalimbali ya maendeleo

“Kama Rais Samia angekutana uso kwa uso na kila mwananchi wa Manyara bila shaka kila Mwanachi angemshukuru kwa upendeleo mkubwa alioupa mkoa wetu” – Queen Sendiga

Kwa upande mwingine, Mkuu wa Mkoa ameeleza Wananchi wa Mkoa wa Manyara hawana cha kumlipa Rais Samia zaidi ya kusubiri kwa hamu Uchaguzi Mkuu wa 2025 ili kumpa ahsante zao

Ikumbukwe kuwa fedha hizo zaidi ya bilioni 535 za Rais Samia mkoani humo ni mbali na miradi ya kipekee na ile ya kimkakati.

Leave A Reply