The House of Favourite Newspapers

Mauaji Ya Kutisha Sudan, 700 Wauawa Darfur

Wapiganaji wa Kundi la Rapid Support Forces (RSF) nchini Sudan, wamevamia kambi za wakimbizi na vijiji kadhaa Magharibi mwa Darfur na kufanya mauaji ya halaiki na makubwa zaidi kuwahi kutokea tangu kuanza kwa mapigano ya wenyewe kwa…

Makaburi Ya Halaiki Kujengwa Gaza

Wapalestina wanaoishi katika Ukanda wa Gaza, wameanza kuchimba makaburi ya halaiki kuwazika ndugu zao, kutokana na ongezeko kubwa la watu wanaopoteza maisha kila siku kutokana na mapigano kati ya Israel na Hamas. Kutokana na ardhi…

Meridianbet Yaja na Wolf Land Hold and Win!!

Mbele yako kuna mchezo mwingine wa kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet ambapo inakusafirisha mpaka Marekani. Mara hii, unapata nafasi ya kukutana na wanyama wa porini, na furaha kubwa kati yao itatoka kwa mbwa mwitu. Karibu kwenye mahali…

MSD Yakabidhi Vifaa Vya Mil 900 Ifakara

SERIKALI kupitia Bohari ya Dawa (MSD), imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya sh milioni 900 kwa Halmashauri ya Ifakara mji. Akizungumza jana Mkoani humo Mbunge wa Kilombero Abubakar Asenga, alisema ujio wa vifaa hivyo, utasaidia…

Sloti ya Wild 27 Kasino ya Mtandaoni

Kama unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.   Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya…

JUMAPILI HII MIKWANJA IPO MERIDIAN TU

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa…

Tamwa, Wadau Wakutana Kujadili Rushwa Ya Ngono

Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa jinsia na habari wakiwemo Wahariri, Dawati la Jinsia, wanafunzi na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU), leo Jumanne, Oktoba…

Mke Wa Aliyekuwa Rais Wa Gabon Afungwa Jela.

Sylvia Bongo Ondimba Mke wa aliyekuwa Rais wa Gabon na kuondolewa madarakani Ali Bongo Odimba amefungwa jela. Sylvia Bongo amekuwa katika kizuizi cha nyumbani katika mji mkuu, Libreville, tangu mapinduzi ya Agosti 30 yalipoondoa…