The House of Favourite Newspapers

Hii Ndo Sababu ya Sister Fay Kutomposti Tena Mumewe

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Faidha Omari ‘Sis­ter Fay’ ametaja sababu ya kuacha kumposti mume wake Elias Njau ak­idai kuwa jamaa huyo ndiyo chanzo cha yeye kukamatwa na kuwekwa lumande.

 

Akizungumza na Ijumaa Wikienda Sister Fay alisema kuwa bado yupo na baby wake huyo lakini hamposti tena kwa kuwa alikamatwa kwa sababu yake kutokana na maneno ya watu kwamba an­ambemenda kwani ni mdogo kwake kiumri.

 

“Nipo na mume wangu kama kawaida lakini si­wezi kumposti kwa sababu nilikamatwa kwa sababu yake ingawa tulipofika polisi wakakuta umri wake unaruhu­su, si mdogo kama walivyod­hani, huyu nitaishi naye milele mpaka kifo kitute-nganishe ila kwa mitandao sasa an­apu-mzika, ”alisema Sister Fay.

STORI: Hamida Hassan, Ijumaa Wikienda.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.