The House of Favourite Newspapers

Hitimana Amwaga Wino KMC

0

KLABU ya Manispaa ya Kinondoni (KMC FC) imeingia mkataba wa mwaka mmoja na Kocha, Thierry Hitimana raia wa Burundi Kuwa Kocha Mkuu wa klabu hiyo.

Hitimana amewahi kuifundisha Namungo Fc na baadaye akatimkia kwa wekundu wa msimbazi Simba na kuwa kocha msaidizi.

Leave A Reply