The House of Favourite Newspapers

Hukumu ya Mwangosi Kutolewa Leo Iringa

0

mwangosi

Daud Mwangosi enzi za uhai wake.

Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo inatarajia kutoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Channel Ten na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa, Daud Mwangosi inayomkabili Pacificius Cleophace Simon.

mwangosi 2

Mwangosi alivyouawa.

Juzi mahakama hiyo ilimkuta na hatia ya kuua bila kukusudia Pacificius ambaye anayetuhumiwa kumuua Mwangosi katika tukio lilitokea katika Kijiji cha Nyololo, wilayani Mufindi Mkoani Iringa Septemba 2, 2012.

Leave A Reply