The House of Favourite Newspapers

HUKUMU ya Waliochoma Kituo cha POLISI, Hali Ilivyo Mahakamani!! – VIDEO

Watuhumiwa wanaodaiwa kuchoma Kituo Cha Polisi Bunju jijini Dar es Salaam mwaka mmoja uliopita, leo Februari 22, wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza hukumu yao.

Wakiwa Mahakamani hapo watuhumiwa hao wamejitahidi sana kujifunika nyuso zao.

Comments are closed.