The House of Favourite Newspapers

Huyu Bieber si wa Dunia Hii Aisee

0
Bieber akiwa mtaani nchini Ufaransa

AMETISHA SANA! Ndiyo maneno pekee ambayo unaweza kuyatamka baada ya kumuona Bieber akitanua zake nchini Ufaransa huku akiwa amekamatia mwanamke wa nguvu koshoto huku kulia wakiwa na mtoto mkaliiiiiii.

Si unajua tena staa akishakuwa barabarani basi kamera nyingi zitakuwa zikimmulika! Watu wengi waliokuwa wakiwaona watatu hao wakitembea, walisema kwamba mshikaji kakolea kwa bi mkubwa huyo na alikuwa naye kwa ajili ya kumliwaza katika kipindi ambacho alikuwa akijiandaa kupiga shoo.

Ikumbukwe kwamba mshikaji yupo katika ziara yake ya kuitangaza albamu ya Purpose sehemu mbalimbali duniani.

Na: Nyemo Chilongani, (GPL)

Leave A Reply