The House of Favourite Newspapers

Huyu Coutinho Ana Balaa

0

KIUNGO  mpya, Philippe Coutinho anazidi kuibeba Aston Villa baada ya juzi kucheza katika kiwango bora sana akifunga bao na kutoa asisti mbili kwenye sare ya Premier ya 3-3 dhidi ya Leeds.

 

Dan James alianza kuifungia Leeds kabla ya Coutinho kusawazisha, kisha nyota huyo anayecheza kwa mkopo akitokea Barcelona, alitoa asisti mbili kwa Jacob Ramsey na kuifanya Villa iongoze 3-1. Lakini mabao yote yakarudi…

 

Hata hivyo, gumzo kubwa katika mchezo huo lilikuwa ni kiwango cha Coutinho ambaye anazidi kumtendea wema mchezaji mwenzake wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard ambaye sasa ni kocha wa Villa.

 

“Ilikuwa ni sukari kutoka kwa Philippe Coutinho. Kama hupendi kuangalia vitu kama vile, unapaswa kuacha kuangalia mpira,” alisema Gerrard.

Leave A Reply