The House of Favourite Newspapers

IGP Sirro Amuondoa RPC Kaganda Kinondoni

0
Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, (ACP) Muliro J. Muliro.

 

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, (SACP) Suzan Kaganda.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Makamanda kwa Mkoa wa Shinyanga na Mkoa wa Kipolisi Kinondoni.

 

Leave A Reply