The House of Favourite Newspapers

INASIKITISHA! Watoto 6 Waishi Kwa Kula Kinyesi Cha Mbuzi! – VIDEO

Kama una uwezo wa kupata angalau mlo mmoja kwa siku, una mahali pa kulala pa kueleweka hata kama ni chini na huna tatizo kubwa kiafya, basi unapaswa kumshukuru Mungu kwani simulizi ya maisha ya familia moja huko Bukoba-Vijijini mkoani Kagera inasikitisha sana.

Comments are closed.