The House of Favourite Newspapers

Inasikitisha! Watoto Watatu Familia Moja Wafa Baharini – Video

0

 

INASIKITISHA SANA! Vuta picha kama mzazi, umekwenda kwenye mihangaiko yako, unarudi unaambiwa watoto wako wanne wamefariki dunia ghafla, hakika inasikitisha!

 

Hali hiyo ndiyo imetokea kwenye familia ya Said Saleh, mkazi wa Majaribio, Tandika jijini Dar es Salaam, ambaye Desemba 15, ilikuwa nzito kwake kufuatia kupewa taarifa za wanawe watatu wa kuwazaa, Jalila (16 ), Khalfan (14 ) na Ruuman (15) pamoja na Mariam Said Ramadhani ambaye ni ndugu wa familia hiyo, walifariki kwa wakati mmoja.

 

TAZAMA VIDEO HII

Leave A Reply