The House of Favourite Newspapers

INATISHA! Mtoto Miezi 8 Achanwa Chanwa Vibaya! – VIDEO

Mkuranga. Duniani kuna mengi, ukiwa mzima mambo ya kuona na kusikia yapo ya kutosha. mfano mkubwa ni hili tukio la kutisha lililompata mtoto wa miezi minane , mkazi wa kijiji cha Kikurwi, Mkuranga mkoani Pwani.

Huko Mkuranga mama aitwaye Asia Athuman, asimulia alivyomkuta mtoto wake akuvamiwa na kundi la nyani na kuanza kumvuta na kumparua mtoto huyo hadi hapo majirani walipofika na kumsaidia.

 

Comments are closed.