The House of Favourite Newspapers

Inogeshe Krismasi Yako kwa Kushinda Mamilioni ya Sokabet


Wakati mamilioni ya Watanzania wakiendelea kusherehekea Sikukuu ya Krismasi na kuisubiri ile ya Mwaka Mpya, wewe unayo nafasi ya kuvuna mkwanja hadi shilingi milioni 100 kwa kubashiri katika Sokabet.

Unaweza kufanya hivyo kwa njia mbalimbali kupitia tovuti na SMS, ambapo kwa njia ya simu yako ya mkononi unaweza kuanza kubet ka kubonyeza namba *148*89# kutapata michakato yote.

Kupitia SMS pia unaweza kufanya yako katika Sokabet katika mitandao ya Tigo, Airtel na Vodacom. Unachotakiwa ni kutumia namba 15800.

Kwa kutumia namba 15800 unaweza kuitumia kujisajili kama bado hujajisajili, cha kufanya andika neno Sokabet kisha tuma kwenda namba hiyo.

TIGO PESA (*150*01#) au VODACOM M-PESA (*150*00#) au AIRTEL MONEY (*150*60#)
NAMBA YA KAMPUNI : 335757
KUMBUKUMBU NO : SOKABET / 123

Kama unataka kutumia tovuti basi zijue njia sahihi kwa kufanya haya hapa:

1. Tovuti ya Sokabet ni www.sokabet.co.tz

2. Kujiandikisha ni bure
Kujiandikisha uwe memba, fungua tovuti, bonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, ukimaliza utatumiwa namba yako ya siri kwa SMS.

3. Ingia kwenye akaunti
Ukishajiandikisha rejea sehemu ya ‘LOGIN’, andika namba yako ya simu, ingiza namba ya siri ambayo umetumiwa kwa SMS, hapo utakuwa umefungua akaunti yako. Ukirejea baadaye kufungua tovuti, hutakuwa na haja ya kujiandikisha upya, badala yake utaingiza namba ya simu kisha namba ya siri tu.

4. Ingiza fedha
Ukishafungua akaunti yako unaweza kuweka fedha kisha kuanza kubeti, kuingiza fedha unaweza kutumia mitandao ya Vodacom, Tigo na Airtel (maelezo zaidi ya kuingiza fedha yapo juu kushoto), kumbuka namba ya kampuni itakayotumika kwenye mitandao yote ni 335757.

6. Kuingiza fedha unaweza kuanza kufanya hivyo kwa kuanzia shilingi 1,000 na kuendelea.

6. Bet kwa Sh 200 tu
Ukimaliza kuingiza fedha kwenye akaunti yako ya Sokabet, hapo utakuwa tayari kwa ajili ya kuanza kubashiri, kiwango cha chini kabisa cha kuanza kubet ni shilingi 200 tu. Ukitatizika wasiliana na huduma kwa wateja kwa namba 0654705555.

7. Michezo mingi & vipengele kibao
Ndani ya Sokabet kuna michezo mingi ambayo inaweza kukuwezesha kubet baadhi ni American football, soka, baseball, kikapu, kriketi, golf, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.

Comments are closed.