The House of Favourite Newspapers

Isabela Mpanda apangishiwa mjengo

0

ISABELA.pngStori: Gladness Mallya

MPENZI wa siku nyingi wa mkongwe wa Bongo Fleva, Luten Kalama, Isabela Mpanda amepangishiwa mjengo maeneo ya Mbezi Makonde na baba wa mtoto wake anayedaiwa kuwa kigogo serikalini.

Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, mama huyo wa watoto wawili ambaye pia ni msanii wa muziki, alisema mzazi mwenzake huyo amefanya hivyo baada ya kusikia ameachana kabisa na Kalama aliyeoa hivi karibuni.

“Namshukuru Mungu nimehama kule Kijitonyama nimekuja huku ambako kuna hadhi, nimeamua kubadilika na kupunguza starehe ili niwalee wanangu,” alisema Isabela.

Leave A Reply