The House of Favourite Newspapers

Jaffo Atoa Kauli Viongozi Watanaotafuna Pesa za Akina Mama – video

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Suleiman Jafo wakati akijubu swali la Mbunge wa Kolea Mjini amesema katika Mikopo ya kinamama sio jambo la hiari kutokana na fedha hizo hazifiki Hazina huku akiwataka Madiwani kuhakikisha fedha hizo zinawafakia wakinamama na Vijana.

 

Akijibu maswali bungeni, Jaffo amesema Serikali imedhamiria kuwakomboa akina mama na vijana kupitia mikopo ya vikundi hivyo akawataka watendaji wa Mitaa, madiwani na viongozi wa halmashauri zote nchini wasizitafune fedha hizo kwani watashughulikiwa, badala yake waziekeleze kwa walengwa hao.

 

MSIKIE JAFFO AKIFUNGUKA

Comments are closed.