The House of Favourite Newspapers

Jaffo – Rushwa Ya Ngono Ni Hatari

TAMISEMI JAFFONaibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo.

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jaffo amesema rushwa ya ngono ni hatari kuliko rushwa zote na inarudisha nyumba maendeleo ya vijana nchini hasa wanawake.

Naibu waziri huyo amesema, “Rushwa mbaya kuliko zote ni rushwa ya ngono”. Kauli yake imeungwa mkono na watu wengi kwenye mitandao ya kijamii na wengi wamemwomba aongoze nguvu kubwa katika kulimaliza tatizo hilo linalozidi kuota mizizi kwenye jamii.

 

Comments are closed.