The House of Favourite Newspapers

Jamani Kaka Cheni …Ndiyo Nini Sasa?!-7

0

ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:

“Eee…nani? Kaanguka? Nakuja…nakuja sasa hivi,” alisema Suu na nikasikia kitanda kikilia, kuashira anatoka kitandani. Nikachukia sana maana na mimi nilikuwa pazuri.

Suu alifungua mlango huku akimwambia kaka Cheni…

“Baby acha niende tu. Nitarudi baadaye…”

TAMBAA NAYO SASA…

Kaka Cheni alijitahidi kumshawishi demu wake asiondoke, lakini wapi! Akasema lazima aende. Na mimi nikawa namwombea kwa mungu wangu demu wake asiondoke ili nifaidi maana nilishakuwa moto.

“Hapana baby, si nimekwambia nitakuja jamani.”

“Noo darling, unajua nilishapata chaji, sasa tungemalizana tu,” kaka Cheni alisema nikamuunga mkono moyoni nikisema…

“Yes …yes hapohapo kaka Cheni kazana asiondoke.”

Nikaanza kusikia kukurukakara, mara niachie Cheni, mara tumalize kwanza ndiyo tuondoke. Mwishowe nikasikia kimyaa! Sasa ikawa zamu ya kitanda kupiga kelele za kukurukakara.

Hapohapo na mimi nikawa sambamba nao, niliushika ule mlio wa kitanda kichwani. Nikawa nakwenda nao kwa biti, kulia, kushoto, kulia kushoto. Mwili ulisisimka sana, nikatamani ningekuwa mimi ndiyo niko na kaka Cheni.

Mbaya zaidi walikuwa hawasikiki lakini mihemko yao peke yake ilinipa raha ndani ya roho! Ikawa kama naangalia filamu ya kikubwa ya Kizungu.

Nilizama kwenye dimbwi la mahaba mazito ya kimimimimi. Sasa nikawa siwasikii tena wao. Nikawa nakwenda kivyangu. Nilivuta hisia za mbali sana huku mikono ikiwa imeshika nido na kucheza nazo harakaharaka.

Nilijikuta napiga ukelele kiasi kwamba, kama kaka Cheni alikuwa makini alisikia kila kitu. Lakini pia kama mama au baba angesimama nje, wangesikia kelele zangu.

Nikasikia aibu mwenyewe nikakaa kimya bila kujitingisha nikiwa nasikilizia. Nilibaini hata kule chumbani kwa kaka Cheni walisikia maana walikaa kimya kabisa kama hakukuwa na mtu kwa muda huo.

Ghafla nikasikia sauti ya chini ya kaka Cheni ikicheka. Nikajua nachekwa mimi. Ukapita ukimya tena, ikafuatia sauti ya yule demu ikicheka, nikajua nachekwa mimi. Halafu wakacheka wote.

Kazi kwangu ikawa ni namna ya kutoka nje. Endapo ningekutana na kaka Cheni kwa muda huo ingekuaje?

Nilisema moyoni sitatoka mpaka nimsikie kaka Cheni akitoka. Maana ilikuwa aibu yangu.

Baada ya dakika kama kumi hivi, nilisikia mlio wa mlango wa kaka Cheni ukifunguliwa. Nikajua wanatoka maana sakafu iliashiria kukanyagwa na mtu zaidi ya mmoja na miguu hiyo ikatokomea, nikajua kaka Cheni anamsindikiza demu wake.

Walipozama na kutosikika kabisa na mimi nikajivutavuta pale kitandani na kutoka zangu nje. Mbio hadi chooni, nikaoga na kunawa, nikarudi chumbani haraka sana ili kama kaka Cheni akija asinikute nje, aibu! Mh!

Nikiwa chumbani, kaka Cheni akarudi…

“Sista,” aliita.

Nikaa kimya kwanza kujiuliza ni jinsi gani nitamwitikia…

“Sista!”

“Abee,” niliitikia nikiwa bado nimekaa…

“Vipi? Umelala sista?”

“Hapana.”

“Njoo.”

Nilitoka na kukutana na kaka Cheni, nikainamia chini kwa aibu…

“Unaumwa?” aliniuliza.

“Wala!” nilijibu nikiwa bado naangalia chini.

“Sasa mbona kama mnyonge hivi?”

“Sijisikii vizuri ndiyo maana.”

“Pole. Mi nalala kidogo.”

“Haya.”

Nilirudi chumbani na mimi nikajilaza kama kaka Cheni alivyolala kule chumbani kwake. Sema tu sikujua alilala vipi? Chali, kifudifudi au upandeupande!

Nilipitiwa na usingizi, kuja kuamka ni jioni sana. Nikatoka nje, nikakumbana na kaka Cheni akiwa anatoka kuoga…

“Mimi natoka sista,” alisema huku akiingia chumbani kwake…

“Sawa.”

Moyoni nilijua kuwa, atakachofanya kaka Cheni ni kwenda kuzurura akirudi atakuwa na demu mwingine. Mh! Kaka Cheni jamani, alijaliwa!

Niliendelea na shughuli nyingine ikiwemo kuandaa mapishi ya jioni. Mama akanipigia simu, akasema yeye na baba hawatarudi, watalala kule msibani kisha akaniuliza…

“Kaka’ko yupo?”

“Yupo, ila kasema atatoka.”

“Anakwenda wapi?”

“Sijajua mama.”

“Akiwaleta wale wanawake wake wafukuze. Hatakufanya lolote mimi ndiye nimesema na umwambie mama ndiyo kasema.”

“Sawa mama.”

Mara, kaka alitoka akisema anawahi mahali. Wakati anasema, nikamwita…

“Kaka Cheni…”

“Nini?”

“Njoo,” nilimwita kwa sauti ya kulegea kidogo huku macho yamesinzia…

 

Je, unajua nini kiliendelea huko? Usikose kusoma kwenye gazeti hilihili, wiki ijayo.

Leave A Reply