The House of Favourite Newspapers

Jay-Z, Blue Ivy Wajinafsi Bustanini Ziara ya ‘On the Run’ Berlin

RAPA mkali wa Marekani Jay-Z  jana (Ijumaa) alivutia mashabiki lukuki alipoamua kupunga upepo na binti yake,  Blue Ivy,   katika bustani moja jijini Berlin, Ujerumani, ambako yeye na mkewe, Beyonce, wanafanya ziara ijulikano kama On the Run II Tour  barani Ulaya, ambapo leo (Jummosi) wanatarajiwa kutumbuiza nchini Poland.

Mashabiki waliozoea kumwona Blue na mama yake pembeni, walipigwa butwaa kidogo kwani Beyonce hakufuatana nao bustanini hapo ambako ulinzi ulikuwa mkali kuzuia mashabiki kufurika hapo.

Comments are closed.