The House of Favourite Newspapers

Jeff Haran, Msanii wa Gospel Aachia Wimbo Mpya Uitwao Unastahili Bwana

0

MSANII wa nyimbo za injili, Jeff Haran @jeffharan ameachia kazi yake mpya iitwayo Unastahili Bwana ambayo tayari inapatikana kwenye ‘digital platforms’ mbalimbali za muziki ikiwemo Youtube.

 

“Ni maombi yangu kuwa wimbo huu ukafanyike sababu ya kuona thamani na nafasi ya Mungu kwa upya katika maisha yako,” amesema.

 

Unaweza kuusikiliza wimbo huo kwa kubofya link iliyopo kwenye bio ya Instagram ya msanii huyo @jeffharan.

Pia unaweza kusubscribe kwenye akaunti yake ya YouTube kupitia link iliyopo kwenye bio yake.

Kuusikiliza wimbo huo, bofya link hapo chini.

Leave A Reply