The House of Favourite Newspapers

Jerome Bwanausi ashinda ubunge Jimbo la Lulindi

0

jerome

Jerome Bwanausi.

Aliyekuwa mgombea wa kiti cha ubunge katika Jimbo la Lulindi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jerome Bwanausi ametangazwa kuwa mshindi wa kiti hicho baada ya kuwabwaga wenzake watatu kutoka vyama vya NLD, CUF na ACT Wazalendo, katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana.

mwanausi

Jerome ameshinda kiti hicho kwa kupata kura 17,715 sawa na asilimia 87.3, akifuatiwa na Modesta Makaidi wa chama cha NLD aliyepata kura 1,638, Amina Mshamu wa CUF akipata kura 714 na mgombea wa ACT Wazalendo Francis Ngaweje akiambulia kura 213.

Leave A Reply