The House of Favourite Newspapers

Jike Shupa Afungukia Skendo Ya Mashoga

0
Zena Abdallah anayefahamika kama Jike Shupa

Video Queen maarufu, Zena Abdallah anayefahamika kama Jike Shupa, amefungukia skendo ya kuishi na kuwauza wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja (mashoga) kwa kusema hajihusishi na hajawahi kuifanya kazi hiyo.

Akizungumza na Risasi Vibes, Jike shupa alisema kwa muda mrefu amekuwa akisemwa kuhusika kuwatafutia mabwana wanaume mashoga, kitu alichodai siyo kweli zaidi ya watu hao kutaka kumchafua.

 

“Nina marafiki wengi wa kiume, labda miongoni mwao kuna wanaojihusisha na vitendo vya kishoga, ila mimi sihusiki kwa kuwatafutia watu hao mabwana, wanaozungumza hivyo wana nia ya kunichafua,” alisema.

Leave A Reply