The House of Favourite Newspapers

JK Aungana na Waombolezaji Kumlilia Ruge – VIDEO

Rais Mstaafu Dr. Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma Kikwete leo wamefika nyumbani kwa Prof. Mutahaba ambaye ni baba mzazi wa Ruge Mutahaba aliyekuwa mkurugenzi wa uzalishaji vipindi wa Clouds Media Group kutoa pole na kuwafariji wafiwa.

Ruge Mutahaba Alifariki dunia Juzi nchini Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu ya figo zilizoanza kumsumbua mwaka jana.

TAZAMA VIDEO YA KIKWETE MSIBANI

Comments are closed.