The House of Favourite Newspapers

JPM Amjulia Hali Kigogo Usalama wa Taifa

RAIS  John Magufuli leo Alhamisi, Septemba 5, 2019, amemtembelea na kumjulia hali Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda,  anayepatiwa matibabu Jijini Dar es Salaam.

Comments are closed.