The House of Favourite Newspapers

JPM Amteua Bashe Kuwa Naibu Waziri, Atengua Uteuzi wa Makamba

Rais Magufuli amemteua George Boniface Simbachawene kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira kuchukua nafasi ya January Makamba ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Comments are closed.