The House of Favourite Newspapers

JPM Amteua Msalika Makungu Kuwa Katibu Tawala Tabora

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bw. Msalika Robert Makungu kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora.

Comments are closed.