The House of Favourite Newspapers

JPM Amwapisha Mrithi wa Makonda na Viongozi Wengine -(Picha + Video)

0

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Aboubakar Kunenge kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Joseph Joseph Mkirikiti kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Paulo Mshimo Makanza kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Gabriel Pascal Luhende kuwa Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Boniface Luhende kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Julai 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Maduhu Isaac Kazi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila akimuapisha Ssgt Mayeka Simon Mayeka kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Waziri wa TAMISEMI SelemaniJafo,Mkuu wa Mkoa wa Dodoma BinilithMahenge, Katibu Mkuu TAMISEMI Eng. Joseph Nyamhanga, Katibu Mkuu Utumishi

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo Julai 16, 2020 alifanya uteuzi wa viongozi wa Mkoa na Wilaya na kuwaapisha 16-07-2020 Ikulu Chamwino, Dodoma.

Viongozi Wateule watakaoapishwa Leo ni :-

1.Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

2.Bw. Joseph Joseph Mkirikiti – Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara

3.Bw.Paulo Mshimo Makanza – Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam

4.Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali

5.Dkt. Boniface Luhende-Kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

6.Dkt. Maduhu Isaac Kazi – Kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC)

Pia Mhe. Rais atashuhudia Uapisho wa Wakuu wa Wilaya za Kongwa, Chunya, Kiteto, Moshi na Hanang

Eneo: Viwanja vya Ikulu Chamwino.

Leave A Reply