The House of Favourite Newspapers

JPM Arejea Nchini Kutoka Uganda

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amerejea nchini leo, Feb 14, akitokea nchini Uganda alipokuwa amekwenda kwa ajili ya mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Comments are closed.