The House of Favourite Newspapers

JPM Awaapisha Jaji Kiongozi na Majaji wa Mahakama Kuu- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Juni 4, 2018 amewaapisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Eliezer Feleshi kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu na Majaji wa mahakama ya Rufani akiwemo Ferdinand Wambali. Tukio hilo limefanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. @MagufuliJP akimuapisha Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Comments are closed.